Msanii Young Killer anasema kuhusu yeye na mpenzi wake.................

MSODOKI

Msanii Young Killer anasema mpenzi wake anayempenda sana na ambaye mara nyingi amekuwa akimuweka kwenye mitandao ya kijamii, wametoka mbali wana miaka 8 hadi kwa sasa. Hategemei kama ni mtu ambaye anaweza kuachana nae kwa sasa na anaamini kuwa wanaweza kuwa mke na mume.
Nini ungependa kumshauri au kumwambia Young Killer?