Baby Madaha kupiga vita 'unga


Baby Madaha kupiga vita 'unga

Star wa muziki wa miondoko ya Bongofleva Baby Madaha hivi sasa ameamua kutumia sanaa yake ya uigizaji katika kupambana na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yanarudisha nyuma maendeleo hasa kwa vijana ambao ni taifa la kesho.Baby Madaha kwa hivi sasa anamiliki kampuni yake binafsi akielezea kuwa filamu hiyo mpya ambayo ipo mbioni kukamilika iliyobatizwa jina la 'Saint And Ghost' imewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Mzee Chilo, Bella fasta, Bi Moza na wengine wengi