Hii video mpya ya Makomando Ft M Rapa ‘Tanzania’ itazame hapa

Video mpya ya Makomando Ft M Rapa ‘Tanzania’


Makomando ‘Tanzania’ wamefanya wimbo na M Rap huku mtayarishaji wa wimbo ni Fraga na video imefanywa na Smash Pictures.