Producer Tuddy Thomas avamiwa na Kujeruhiwa Vibaya

Producer Tuddy Thomas avamiwa na Kujeruhiwa Vibaya


Habari:Producer wa muziki nchini, Tudy Thomas amevamiwa na watu wanaosadikika kuwa ni vibaka maeneo ya Mlimani City usiku wa kuamkia leo na kumjeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili. Producer huyo amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi kwa matibabu.