Muziki kweli unalipa! Hili ndilo gari alilonunua Dancer wa Diamond Platnumz

Muziki kweli unalipa! Hili ndilo gari alilonunua Dancer wa Diamond Platnumz


Muziki wa Tanzania unaendelea kukua kila kukicha! na imekuwa na chanzo kikubwa cha ajira kwa baadhi ya vijana hapa Tanzania! Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wana mafaniko sana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki, Mafanikio ya Diamond yameweza kunufaisha pia Dancers wake.
Diamond kupitia mtandao wa Instagram,ameandika kuwa anafarijika na kumshukuru Mungu kuwaona vijana wenzake wakipata mafanikio hasa wale ambao anafanya nao kazi......Hivi ndivyo alivyoandika Diamond kupitia account yake ya Instagram.